Thursday, 15 February 2018

HIVI NDIO VIKOSI VYA GHARAMA KUBWA BARANI ULAYA


Jarida la CIES FOOTBALL limetoa tathimini ya vilabu 10 katika bara la Ulaya vyenye vikosi vya gharama.
:
1. *Man City*-€878M
2. *PSG*-€805M
3. *Man United*-€747M
4. *Barcelona*-€725M
5. *Chelsea*-€592M
6. *Real Madrid*-€497M
7. *Liverpool*-€461M
8. *Juventus*-€448M
9. *Arsenal*-€403M
10. *Everton*-€365M
:
Takwimu hii imefanywa baada ya muunganiko wa vipindi viwili vya usajili,usajili wa dirisha kubwa(Juni-2017) na ule wa dirisha dogo (Januari-2018).

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search