Monday, 5 February 2018

IDARA YA UHAMIAJI AIMETOA TAMKO HILI KWA WAOMBAJI WA PASSPORT
Idara ya Uhamiaji imewataka wale wote waliokuwa wamewasilisha maombi ya 'passport' za zamani na bado hawajazipata, kurudia kujaza fomu za maombi na kumalizia tofauti ya malipo ili waweze kupatiwa 'passport' mpya za kielektroniki.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search