Monday, 26 February 2018

MADAKTARI NCHINI INDIA WAMEFANIKIWA KUFANYA UPASUAJI HUU
INDIA: Wataalamu wa upasuaji wamefanikiwa kuondoa uvimbe wenye uzito wa kilogramu 1.8, uliokuwa ndani ya kichwa cha Santlal Pal (31), raia wa nchi hiyo. Madaktari hao wameutaja uvimbe huo kuwa ndio mkubwa zaidi duniani, kutolewa kwenye kichwa cha binadamu. 📸 CNN.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search