Monday, 26 February 2018

MANCHESTER UNITED KUSAINISHA MKATABA MPYA DE GEA

Image result for de gea
Katika kuhakikisha anabaki Old Trafford - Manchester United wapo katika hatua za mwisho za kumsainisha mkataba mpya golikipa David De Gea. Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo inasemakana DDG ambaye anawania na Real Madrid kwa muda mrefu - anatarajia kusaini mkataba utakaomuweka OT miaka mingine mitatu, mkataba wake wa sasa unaisha June 2019. .
Imeripotiwa DDG atasaini mkataba wenye thamani ya malipo ya £220,000 - sawa na zaidi ya millioni 600 za kitanzania kwa kila wiki kwa muda wa miaka 3.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search