Monday, 5 February 2018

Mgombea udiwani wa CHADEMA kata ya Buhangaza aliyetoweka, apatikana akiwa hajitambui

Mgombea wa udiwani Kata ya Buhangaza, Muleba (Chadema), Athanasio Makoti aliyekuwa amepotea tangu Februari 2, mwaka huu amepatikana. CHADEMA imesema alitupwa barabarani maeneo ya Hospitali ya Kagondo.

Chadema.jpg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search