Wednesday, 21 February 2018

MTANZANIA AKAMATWA NA DHAHABU DOLA MILION MOJA HUKO NCHINI KENYA

Maafisa wa forodha nchini Kenya wamemkamata mwanamume anayedaiwa kuwa raia waTanzania katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi akisafirishadhahabu ya thamani ya dola milioni mojataarifa zinasema.
Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 46 anadaiwa kuwasili kutoka Mwanza, Tanzania kupitia uwanja wa Kilimanjaro na alikuwa safarini kuelekea Dubai.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search