Wednesday, 28 February 2018

POLISI WAZUIA MKUTANO WA MBUNGE WA BUKOBA MJINI ALFRED LWAKATARE

Mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare amezuiwa na Jeshi la polisi nchini kufanya mkutano wa hadhara ambao ulipangwa kufanyika leo Februari 28, 2018 jimbo Bukoba Mjini katika uwanja wa Soko la Rwamishenye.

Taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi inasema wamezuia mkutano huo kutokana na hali ya usalama katika wilaya hiyo na kuhusu taarifa za watu kushawishiwa kuandamana kwenye mitandao ya jamii.

Lwakatare.jpg ​

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search