Wednesday, 21 February 2018

RAIS MAGUFULI AONDOKA NCHINI KUELEKEA UGANDA KWENYE MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

RaisDk John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kupanda ndege kwenda nchini Uganda kushiriki Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijini Kampala nchini humo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul MakondaPost a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search