Thursday, 8 February 2018

Serikali Kujenda Flyover Saba katika jiji la Dar es Salaam

Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata. -@TZ_MsemajiMkuu wa Serikali, Dk Abbasi.
[​IMG]

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search