Monday, 12 February 2018

SERIKALI YA RWANDA KUKIPIGA MNADA KIWANDA CHA TUMBAKU CHA DIANE RWIGARA


Serikali ya inatarajia kukipiga manada Kiwanda cha Tumbaku kinachomilikiwa na familia ya mwanasiasa wa upinzani, Diane Rwigara ili kuweza kurejesha TZS 13.5bn zinazodaiwa. Pia, akaunti za benki za familia katika benki za GT Bank and Ecobank zinashikiliwa na serikali.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search