Thursday, 8 February 2018

Serikali yasema imeshagawa milioni 50 kila kijiji kama ilivyoahidi kwenye kampeni


Serikali kupitia msemaji wake, Dk Hassan Abbas imesema imeshagawa milioni 50 kila kijiji kama ilivyoahidi kwenye kampeni za mwaka 2015

Milioni hizo 50 kila kijiji zimetolewa kupitia elimu bure na ujenzi wa fly over na barabara
Msikilize msemaje wa serikali

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search