Monday, 5 February 2018

SERIKALI YASITISHA UBOAJI WA NYUMBA ZAIDI YA 12,000 KATI YA KIMARA NA UBUNGOSerikali imesitisha ubomoaji wa nyumba zaidi ya 12,000 kati ya Ubungo na Kimara, Dar es Salaam baada ya Benki ya Dunia (WB) inayofadhili upanuzi wa barabara kusema kuwa, ni ukiukwaji wa haki za binadamu kubomoa nyumba za wananchi pasi na kuwapa fadia.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search