Friday, 2 February 2018

Timu ya Shilawadu Yadaiwa Kuchezea Kichapo Kitakatifu Kutoka Kwa Moses Iyobo


From @mangekimambi_ - Jomoni embu amkeni, Mose Iyobo kawapa kichapo Shilawadu, mnaambiwa bonge la fujo hapo dukani kwa Aunty Kinondoni. Watu ndo wakaja kuamua na Shilawadu wameshindwa kumuhoji Mosee. Mnaambiwa Kwisa kala vichwa viwili vya kijeshi, Soudy kala mitama double double alikuwa anageukia hewani..Uwiiii mambo ni hiviii ni motooo
.
Ila huyu Mosee mbona anajifanya sana jamani?? Utasema sio dancer?? Au sababu kampata Aunty ndo anajiona?? Kha!!Shiladu wenyewe walienda dukani wakijua watamkuta Aunty wamuhoji kumbe Aunty kasafiri yuko China, hata wakati anachambana na Tunda alikuwa China. So kufika dukani ndo wakamkuta Baba Kuki badala waondoke wakataka kumchokonoa baba Kuki we ndo kikawaka.Mambo ni hivi ni fire

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search