Friday, 2 February 2018

TRA Yafunguka Kuhusu Kugawa Magari ya Kanisa, Msikiti na NGO's

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekanusha taarifa iliyokuwa inasambaa katika mitandao ya kijamii kuwa inagawa magari kwa taasisi zinazotoa huduma za kijamii kama Kanisa, Msikiti, NGO na vituo vya watoto yatima pamoja na kutuzia wazee.


Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa mamlaka hiyo na kuwataka wanaanchi kuipuuza pindi waipatapo au kuiona katika mitandao hiyo.

Kwa habari kamili soma hapa chini..


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search