Friday, 2 February 2018

WAKIMBIZI WAENDELEA KUMIMINIKA TANZANIA


BURUNDI: Wakimbizi wameendelea kumiminika mikoa inayopakana na eneo la Fizi lililopo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya majeshi ya Serikali na Waasi wa Mai Mai
-
Wakimbizi hao wanasema mapigano ni makali mno kiasi cha familia nyingi kutawanyika na baadhi ya Watoto wamekimbia bila Wazazi wao.
Shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia wakimbizi (UNHCR) limeanzisha misafara ya kuwapeleka wakimbizi hao kwenye kambi katika Mikoa isiyopakana na Kongo.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search