Monday, 26 February 2018

WAZIRI ELIMU PROFESA NDALICHAKO AAHIDI KUMSOMESHA MDOGO WAKE AKWILINA

Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina Akwilini, Angela Akwilini ambaye kwa sasa anasoma kidato cha tatu.

Akizungumza leo Februari 23, 2018 baada ya mazishi ya Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam, Profesa Ndalichako amesema atamsomesha Angela hadi Chuo Kikuu.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search