Thursday, 15 February 2018

Waziri mkuu wa Ethiopia ajiuzulu

Waziri mkuu nchini Ethiopia Hailemariam Desalegn
Image captionWaziri mkuu nchini Ethiopia Hailemariam Desalegn
Waziri mkuu nchini Ethiopia Hailemariam Desalegn amejiuzulu .
Imedaiwa kuwa kiongozi huyo aliwasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa chama chake cha Ethiopia People's Demecratic front. Hatahivyo haijabainika iwapo chama hicho kimekubali uamuzi wake au la.
Chanzo:BBC Swahili

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search