Sunday, 4 February 2018

Waziri Ndalichako: Michango ya hiyari shuleni inaruhusiwa

Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amesema serikali haijakataza wazazi kwa hiyari yao, kuweka utaratibu wa kuchangia chakula au michango mingine.

Ni jukumu la mkuu wa shule kukaa na jamii pamoja na kamati ya shule na kuweka utaratibu juu ya kuchangia chakula kwa wanafunzi wa kutwa au wanafunzi wa hosteli.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search