Thursday, 15 February 2018

ZARI AACHANA RASMI NA DIAMOND

Baada ya headlines za muda mrefu na mfululizo wa tetesi za penzi la Zari na muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz kudaiwa kuyumba, hatimae leo Zari ameamua kuwatangazia mashabiki wake kuwa ameamua kuachana na Diamond Platnumz kwa madai ya mfululizo wa matukio ya usaliti wa kimapenzi.

Zari ametangaza kuachana na Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram na ameandika ujumbe mrefu ulioeleza sababu zote zilizomfanya kufikia maamuzi hayo licha ya kuwa yeye na Diamond wamezaa watoto wawili Nillan na Tiffah, kupitia ukurasa wake wa instagram Zari ameandika hivi.

Understand that this is very difficult for me to do. 
There have been multiple rumors some with evidence floating around in ALL SORTS of media in regards to Diamond’s constant cheating and sadly I have decided to end my relationship with Diamond, as my RESPECT, INTEGRITY, DIGNITY & WELL BEING cannot be compromised. 
We are separating as partners but not as parents. 
This doesn’t reduce me as a self-made individual, and as a caring mother, and the boss lady you have all come to know. 
I will continue to build as a mogul, i will inspire the world of women to become boss ladies too. 
I will teach my four sons to always respect women, and teach my daughter what self-respect means. 
Unlike many, I’ve been in the entertainment industry for 12 years, and through all my challenges I came out a victor because I am a winner, and so are all of you Zari supporters. 
HAPPY VALENTINE'S
LikeCommentSave
 • zarithebossladyUnderstand that this is very difficult for me to do. 
  There have been multiple rumors some with evidence floating around in ALL SORTS of media in regards to Diamond’s constant cheating and sadly I have decided to end my relationship with Diamond, as my RESPECT, INTEGRITY, DIGNITY & WELL BEING cannot be compromised. 
  We are separating as partners but not as parents. 
  This doesn’t reduce me as a self-made individual, and as a caring mother, and the boss lady you have all come to know. 
  I will continue to build as a mogul, i will inspire the world of women to become boss ladies too. 
  I will teach my four sons to always respect women, and teach my daughter what self-respect means. 
  Unlike many, I’ve been in the entertainment industry for 12 years, and through all my challenges I came out a victor because I am a winner, and so are all of you Zari supporters. 
  HAPPY VALENTINE'S
 • Load more comments
 • stignanta_da_lavidar@mazejennyfer nyira ngeona ta ndumi to lee ngechaakanya ta kulya kwedu teeh hahahahahahaha akili za kivalentine zaidi
 • officialmxkellyDuh!so sad
 • speed_goood@deltrice_wangui they were never married
 • suraiyashariff54Too sad indeed
 • yasminyusuf774Wabongi now u will shut ur asses mapugu empty debes
 • wolperenginePole mamy Mungu amtupi mja
 • ukhtyckmgodoka90@naytrueboy
 • cuteshammyHow sad ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ..U such a strong lady ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช , u ll get over it..Love u Zarina
 • official_chaliiyatunda๐Ÿ˜ฑ
 • seckymwaibula@dorizangel_kidotieee till when hunnie?
 • rosemnaliwaTunadanganywa
 • kassim_makilikaDont do that shemu nilimpenda diamond kwasababu yako,umetulia,una akili ya maisha kama kweli umechukua hatua hyo Allah akubaliki kwani umedhalilishwa vya kutoshwa hata kama ni kupitiwa ila kwake imexidi hata kama ni media tu au kiki ila sio kwa kukufanya ni mwanamke dhaifu kiasi kile
 • fatmaspice4327Go zari go... go mamii ur right,no matter what we lov u zari,ur kids is ur happy๐Ÿ˜˜
 • faithbrandy2692I think you have made the right decision know keep on hustling and loading your account. I wish you all the best
 • ___chuner@_sittikarugila ayepange talio wa umutagiliza ayenyele okwo
 • glamdee21๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘@iam_yongmoney
 • starkid_brightbut you never told us when you were getting into this relationship,, why now?! my advise keep it on the low. otherwise Goodluck in your future endeavors
 • mavel_212Congratulations,more dick in your pussy ๐ŸŽ‰
 • mutukujudyStrong woman you are and through God's grace, you will overcome this.
 • call_me_leila_mpoleLeo nitalala usingizi mzuri sana happy for u mama Tee we love u soooo much @motta_lyoka“Elewa kuwa hiki ni kitu kigumu sana kwangu kukifanya, kumekuwa na tetesi mbalimbali baadhi kati ya hizo zimekuwa na ushaidi ambao umekuwa ukisambaa katika vyombo vya habari kuhusiana na usaliti wa kimapenzi unaofanywa na Diamond, kwa huzuni nimeamua kuvunja uhusiano wangu wa kimapenzi na Diamond kwa heshima yangu”
“Tunaachana kama wapenzi lakini sio kama wazazi hii hainipunguzii mimi kuwa mtu wa kujitegemea, mama mwenye kujali na Boss Lady, wote mnatakiwa kufahamu hilo nitaendelea kujijenga kama mwanamke mwenye ushawishi, nitawaamasisha wanawake wote kuwa maboss Ladies”
“Nitawafundisha watoto wangu wanne wa kiume kuwaheshimu wanawake na nitamfundisha binti yangu ni nini maana ya heshima, nimekuwa katika kiwanda cha burudani kwa miaka 12 sasa pamoja na changamoto zote hizo lakini nimefanikiwa kuwa mshindi kwa sababu mimi ni mshindi nawatakiwa wote siku njema ya wapendanao”

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Zari na Diamond walianza kudaiwa kuwa hawapo pouwa katika mahusiano yao toka kuvuja kwa  clip video iliyokuwa inadaiwa kuwa Diamond alimpeleka msichana mwingine kulala nae Madale lakini tukio la Diamond kunaswa na camera za mapaparazi akikumbatina na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu wakati wa utambulisho wa  Mbosso kama msanii mpya wa WCB, kitendo kile kilidaiwa kuwa hakikumpendeza Zari.

zarithebossladyUnderstand that this is very difficult for me to do. 
 • There have been multiple rumors some with evidence floating around in ALL SORTS of media in regards to Diamond’s constant cheating and sadly I have decided to end my relationship with Diamond, as my RESPECT, INTEGRITY, DIGNITY & WELL BEING cannot be compromised. 
  We are separating as partners but not as parents. 
  This doesn’t reduce me as a self-made individual, and as a caring mother, and the boss lady you have all come to know. 
  I will continue to build as a mogul, i will inspire the world of women to become boss ladies too. 
  I will teach my four sons to always respect women, and teach my daughter what self-respect means. 
  Unlike many, I’ve been in the entertainment industry for 12 years, and through all my challenges I came out a victor because I am a winner, and so are all of you Zari supporters. 
  HAPPY VALENTINE'S

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search