Tuesday, 20 February 2018

ZARI AMCHANA DIAMOND .....'UTAKOMA TU MWENZANGU

Ikiwa leo ni siku ya tatu toka Zari atangaze rasmi kuachana na mzazi mwenzake Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram, Leo Februari 17,2018 kupitia mtandao wa Snapchat wa Zari ameandika caption ambayo inatafsirika ni ujumbe kwa Diamond Platnumz.

Zari the boss lady ameandika “Utakoma tu mwenzangu” akiwa anaangalia wimbo wa Sikomi wa Diamond Platnumz kwenye Tv.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search