Thursday, 1 February 2018

Zitto: Nilipokuwa Mwenyekiti wa POAC, tulimhoji Tido Mhando na kuthibitisha hakuwa na kosa

Kupia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter Mbunge Zitto Kabwe amesema alipokuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma, walimuita Tido Mhando na kumhoji kuhusu tuhuma alizofikishwa nazo kortini leo.

Walithibitisha hakuna kosa alilolifanya, aitaka TAKUKURU isome ripoti zote na kuna uwezekano wakashindwa kesi.

zitto 1.PNG 

Tweet hiyo hapo juu imekuja ikiwa ni muendelezo baada ya kuandika tweet nyingine ambayo ilikuwa inamjibu mdau mmoja ambaye alisema Tido alitumika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2005. Tweet hiyo imesema;

zitto 2.PNG

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search