Wednesday, 21 March 2018

ABDUL NONDO ASAFIRISHWA KUPELEKWA IRINGA ASOMEWA MASHATAKA NA KURUDISHWA RUMANDE


Kwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole, Mwanafunzi wa UDSM, Abdul Nondo amesafirishwa usiku kupelekwa Iringa na sasa yuko Mahakama ya Wilaya.

Dhamana ya Abdul Nondo itatazamwa Jumatatu juma lijalo baada ya hakimu kuomba kusoma sheria inasemaje juu ya kuzuiwa dhamana kwake hivyo amesema Jumatatu itajulikana kama kuna kupewa dhamana ama lah.

Shauri limeahirishwa na mtuhumiwa kupelekwa rumande.

KOSA: Kutoa taarifa za uongo Mitandaoni na kosa la pili ni kudanganya kuwa katekwa

HATI YA MASHTAKA:

D9E903B7-54BA-43DC-B505-92C607A3B1A0.jpeg
24089953-C1E0-4361-8AFC-94479F739D36.jpeg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search