Wednesday, 7 March 2018

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Mjini, Dkt. Amani Walid Kabourou, afariki dunia

kabu.jpg 

 1. Aliyewahi kuwa mbunge wa Kigoma mjini Dkt. Amani Walid Kabourou, ametangulia mbele ya haki.

  Alikuwa kalazwa Hospitali ya Muhimbili. Mazishi yanafanyika Kigamboni Dar Es Salaam.

  Mola ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Ameni.

  KWA UFUPI:

  Marehemu alizaliwa 23 Mei, 1949.

  Aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini (CHADEMA) kabla ya kuhamia CCM mnamo mwezi Septemba 2006 na kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma mwezi Oktoba mwaka 2012.

  Aliwahi kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki kuanzia 05 Juni, 2007 hadi 04 Juni, 2012

  Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi
  [​IMG]

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search