Thursday, 29 March 2018

BREAKING NEWS:-HATIMAYE MBOWE NA VIONGOZI WENGINE WA CHADEMA WAACHIWA KWA DHAMANA NA MAHAKAMA YA KISUTU

18EEF9BF-C964-4CCB-B3E6-5FA02945ECEC.jpeg

4557AF29-DC59-4724-BE18-545388188778.jpeg
Hatimaye Hakimu ametoa dhamana kwa washtakiwa! Kila mshtakiwa anatakiwa kuwa na wadhamini wawili ambao watasaini bondi ya Sh. Milioni 20 na wawe na barua toka kwa viongozi wao wa vijiji ama S/Mtaa na wawe na nakala za vitambulisho vyao.

Watatakiwa kuripoti Polisi kila Alhamisi (Central Police)
Update:
Mahakama imeelekeza washitakiwa wafikishwe mahakamani Jumanne tarehe 03 Aprili na wadhamini wao ili wapate dhamana rasmi.
 Hakimu Mashauri baada ya kusikiliza hoja zilizowasilishwa na upande wa Jamhuri na utetezi amesema Aprili 3, 2018 washtakiwa waletwe mahakamani wasaini bondi wakishakuwa huru ndiyo zoezi zima la taarifa ya kukata rufaa kama Jamhuri ilivyoonyesha nia litafanyika.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search