Thursday, 1 March 2018

BREAKING NEWS: MLIPUKO WATOKEA MAHAKAMA YA KISUTU

DAR: Hitilifu ya umeme iliyotokea kwenye moja ya chumba katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesababisha mlipuko mkubwa ulioambatana na moshi
Inadaiwa kuwa mlipuko huo uliozua taharuki Mahakamani hapo imesababishwa na mvua iliyonyesha mapema leo Jijini Dar

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search