Monday, 19 March 2018

DIAMOND AANIKA MAHABA YAKE KWA WEMA

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameshindwa kujizuia baada ya mpenzi wake wa zamani na Malkia wa Bongo Movies, Wema Sepetu kutupia picha yake na kumtag akisema “I’m inlove with you there’s nothing dat I wouldn’t do, catch a grenade for you, as long as you want me to…” jambo lililomuibua Diamond na kuanika rasmi mahaba yake kwa Wema.Hayo yamejiri ikiwa ni saa chache baada ya Wema kuposti kipande cha wimbo mpya wa Diamond aliyomshirikisha staa wa Marekani, Omario, ngoma inaitwa AFRICAN BEAUTY na kumfagilia kwa kazi nzuri aliyoifanya.Kwa mujibu wa mashabiki wa mastaa hao, inaonekana wamesharudiana na sasa wanaanza kuanika uhusiano wao.


Hivi karibuni ameachana na mama watoto wake, Zari The Bossy Lady kwa kile kilichodaiwa sababu kuwa Diamond amezaa na mwanamitindo Hamisa Mobeto.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search