Thursday, 29 March 2018

HUU NDIO MUONEKANO WASHULE YA SEKONDARI IHUNGO ILIYOPO MKOANI KAGERA BAADA YA UKARABATIWA

Shule ya Sekondari ya Ihungo mkoani Kagera ilivyokuwa zamani kabla ya kuathiriwa na tetemeko la na ilivyo sasa baada ya kukarabatiwa kufuatia kuathiriwa na tetemeko. Mkoa wa Kegera ulikumbwa na tetemeko la ardhi Septemba 10, 2016 na kupelekea vifo na uharibifu wa miundombinu.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search