Monday, 12 March 2018

JESHI LA POLIS LAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA NDANI YA ACT-WAZALENDO

Jeshi la Polisi wilayani Mvomero Mkoani Morogoro limekiamuru chama cha ACT Wazalendo wilayani humo kusitisha kufanya mikutano ya ndani

Katika barua iliyosainiwa na SSP Julius S. Lukindo ambaye ni Mkuu wa Polisi wa wilaya hiyo imeelezwa kuwa Jeshi la Polisi kwasasa linashughulikia kesi nyingi za kisiasa hivyo ACT Wazalendo wanashauriwa kufanya mikutano hiyo siku za baadae
Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search