Wednesday, 21 March 2018

JESHI LA POLISI LAKAMATA WATU WAWILI KWA TUHUMA ZA KUHAMASISHA MAANDAMANO

IMG_20180321_121124_899.jpg 
Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kwenye mitandao ya kijamii yanayotarajiwa kufanyika April 26 mwaka huu.

Watu hao wamekua wakisambaza ujumbe kwenye mitandao ya kijamii kuhamasisha watu kuandamana huku wakijua ni kosa kisheria.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search