Thursday, 1 March 2018

JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA MAMA HUYU KWA TUHUMA ZA KUMCHINJA MWANAE


Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Hadija Msangi, mkazi wa Wilaya ya Mwanga, kwa tuhuma za kumchinja mwanaye wa umri wa miezi 9, na kumuweka kwenye mfuko wa salfeti, kisha kuuficha chini ya uvungu wa kitanda. Inadaiwa kuwa mama huyo ana tatizo la upungufu wa akili.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search