Thursday, 15 March 2018

Maalim Seif Hamad wa CUF amekutana na maofisa wa masuala ya siasa na uchumi kutoka Bunge la Marekani

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (Cuf) Maalim Seif Sharif Hamad amekutana na maofisa wa masuala ya siasa na uchumi kutoka Bunge la Marekani. kujadili hali ya siasa na uchumi Tanzania bara na visiwani.

cuf.jpg
cuf2.jpg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search