Wednesday, 28 March 2018

Maalim Seif Shariff Hamad apokewa kifalme Kisiwani Pemba

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad jana tarehe 27.3.2018 amewasili Kisiwani Pemba kwa ziara ya siku 4 kwa mikoa yote kisiwani Pemba.

Watu walianza kufurika kiwanja cha ndege cha Abeid Amani Karume na badala yake kujipanga misururu pande zote za barabarani kila alipokuwa anapita na wananchi wapenzi na wanachama wa CUF wakiwa na shauku na furaha wakiimba Rais Rais Rais...

Na mwandishi wetu.

IMG-20180327-WA0016.jpg
IMG-20180327-WA0017.jpg

IMG-20180327-WA0019.jpg

IMG-20180327-WA0031.jpg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search