Monday, 26 March 2018

Mahakama Iringa yatoa dhamana kwa Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi, Abdul Nondo

Nondo.jpg
Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa imetoa dhamana kwa Abdul Nondo kwa masharti yakiwemo wadhamini wawili mmoja awe mtumishi wa serikali, wote wawe wakazi wa Iringa kwa pamoja wakisaini bondi ya kauli Tshs Mil 5.

Kesi itakuja kutajwa tena 10/04/2018

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search