Monday, 26 March 2018

MWANAMITINDO AMUOMBA MSAMAHA MKE WA RAIS WA MAREKANI KWA KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MUMEWE


Mwanamitindo Karen McDougal amemuomba msamaha mke wa Rais wa Marekani, Melania Trump kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wake. Karen alidai kuwa, amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi yaliyodumu kwa miezi 10 na Rais Trump mwaka 2006.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search