Friday, 23 March 2018

MWANAMKE ASHINDA KESI DHIDI YA UNYANYASAJI
KENYA: Josephine Majani ameshinda kesi ya unyanyasaji unaofanywa kwenye hospitali za serikali, hususani kwa wanawake wajawazito. Mahakama imeamuru alipwe fidia ya $25,000 (TZS 56.4m). Mwaka 2013 wauguzi wa Hospitali ya Bungoma walidaiwa kumpiga na kumuacha ajifungue mwenyewe.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search