Monday, 26 March 2018

NACTE YASITISHA UDAHILI WA VYUO 163 KUTOKANA NA DOSARI MBALIMBALI


Baraza la Taifa la elimu ya Ufundi (NACTE), limesitisha udahili wa vyuo 163 kati ya vyuo 556 walivyovifanyia uhakiki baada ya kubaini dosari mbalimbali. Hatma ya vyuo hivyo kuendelea na udahili au la itajulikana baada ya uamuzi wa Mkutano Mkuu wa baraza hilo kufanyika.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search