Thursday, 1 March 2018

NYIMBO MBILI ZA DIAMOND NA NYINGINE KUMI NA TATU ZAFUNGIWA NA TCRA

Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA)
- TCRA imepiga marufuku nyimbo hizo kuendelea kurushwa ktk vyombo vya habari na hatua za kisheria kuchukuliwa kwa watakaokiuka.kati ya hizo 15 zipo mbili za Diamond

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search