Tuesday, 6 March 2018

Picha zikimuonesha Mbunge Tundu Lissu akifanya mazoezi

Mbunge Tundu Lissu akiwa na mkewe katika mitaa ya Jiji la Brussels nchini Ubelgiji.

Rais huyo TLS yuko nchini humo kwa ajili ya matibabu.

Lissu alijeruhiwa kwa kupigwa risasi takribani 38 Septemba mwaka jana huko mjini Dodoma na watu wasiojulikana.
Muujiza unaotembea. Anarejea punde nchini. Mungu ni mwema sana. ✌
IMG-20180305-WA0032.jpg 

IMG-20180305-WA0036.jpg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search