Friday, 23 March 2018

RAIS WA MAREKANI AMEMFUTA KAZI MSAHURI MKUU WA MASUALA YA ULINZI NA USALAMARais Donald Trump amemfuta kazi Mshauri Mkuu wa Masuala ya Ulinzi na Usalama ya nchi hiyo, Herbert Raymond McMaster na kumteua aliyewahi kuwa Balozi wa Umoja wa Mataifa John Bolton kuishika nafasi hiyo.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search