Thursday, 8 March 2018

RC Mnyeti ampinga Kigwangala kuwaondoa wananchi eneo la Hifadhi

Tamko la Waziri wa Maliasili na Utalii Dakta Hamisi Kigwangala la kuwataka Wananchi wa Kaya takribani elfu tatu katika Kijiji cha Kimotorok Wilayani Simanjiro wahame kupisha shughuli za uhifadhi limeonekana kukinzana na Maamuzi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexsander Mnyeti ambaye ametoa zuio la wakazi hao kuondoka kwa sasa.Chanzo: Azam Tv

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search