Thursday, 15 March 2018

Seleman Msindi (Afande Sele) ajiunga na CCM

sele2.jpg

Mbele ya Rais Magufuli, Msanii maarufu wa Hip Hop na aliyekuwa mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo Seleman Msindi, amejiunga na Chama cha Mapinduzi. Kasema Tanzania hakuna mbadala ya CCM. Aomba chama kimpokee.

Ni leo katika uzinduzi wa kiwanda cha Sigara mkoani Morogoro.

"Nampongeza sana ndugu Sele (Afande Sele), mimi napenda nyimbo zake hasa ule wimbo wa Morogoro anasimama barabarani alafu anakuwa anapiga miguu hivi polepole, nampongeza kwa kuamua kurudi Chama cha Mapinduzi, ameamua vizuri" amesema Rais Magufuli

Afande Sele ni jembe!

Video


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search