Friday, 23 March 2018

SERIKALI YAZINDUA DAWA MPYA YA TB KWA WATOTO


Serikali imezindua dawa mpya za TB za watoto ili kuhakikisha inakidhi matakwa ya Shirika la Afya Duniani (WHO). Dawa hizo mpya za watoto ni za mseto (RHZ/RH) ulioboreashwa, tayari zimewasili nchini na tumeanza kuzisambaza kwenda mikoani na Halmashauri zote

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search