Tuesday, 6 March 2018

TACAIDS-WATANZANIA 225 HUAMBUKIZWA VVU KILA SIKU


Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko, amesemea Watanzania 225 huambukizwa Virusi vya UKIMWI kila siku ambao ni sawa na watu 82,350 kwa mwaka. Asilimia 40 ya maambukizo mapya hutokea kwa vijana wenye umri kati ya miaka 15-24.-
MTANZANIA

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search