Wednesday, 28 March 2018

UONGOZI WA DARUSO WAMEUOMBA UONGOZI WA CHUO KUMRUHUSU NONDO AENDELEE NA MASOMO


Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO), imeuomba uongozi wa chuo hicho kumsamehe mwanafunzi Abdul Nondo na kumruhusu aendelee na masomo, kufuatia kusimamishwa hadi hapo kesi mbili za jinai zinazomkabili zitakapomalizika.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search