Friday, 23 March 2018

UONGOZI WA KANISA LA KKKT UMEANZA KUKUSANYA VITABU VYA MCHUNGAJI FRED NJAMA
Usharika wa Karanga wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, umeanza kazi ya kukusanya vitabu vya taarifa ya mchungaji Kiongozi, Fred Njama. Vitabu hivyo vinaondolewa kwenye mzunguko kwa agizo la Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Moshi.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search