Monday, 26 March 2018

UPO UWEZEKANO WA MWANAMKE KUBEBA MIMBA YA WATOTO MAPACHA KUTOKA KWA BABA WAWILI TOFAUTI-MHADHIRI


Mhadhiri Mwandamizi katika chuo kikuu cha Sayansi na Tiba cha Muhimbili (MUHAS), Dkt Peter Wangwe, amesema upo uwezekano wa mwanamke kupata mimba ya watoto pacha kutoka kwa baba wawili tofauti, ikiwa atakutana kimwili na wanaume wawili katika kipindi ambacho mayai yake yamekomaa.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search