Tuesday, 27 March 2018

UWANJA WA MICHEZO WA KISASA KUJENGWA WILAYANI RUANGWA

Serikali ya awamu ya tano inaendelea na ujenzi wa miundombinu mbalimbali ambapo uwanja wa kisasa unajengwa  Wilayani  Ruangwa mkoani Lindi.

Uwanja wa michezo wa Kisasa utajengwa wilayani humo ambao utakuwa unachukua watazamaji 50,000. Ruangwa ni wilaya ya nyumbani kwa Waziri Mkuu wa JMTZ ndugu Kassim Majaliwa ambaye ni mpenda michezo, hakika Kusini itaamka kutokana na uwanja huu.


0ce6dad423918b13a0cd8a5bc3f4830c.jpg 

ML.jpg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search