Thursday, 29 March 2018

WABUNGE WA CHADEMA WAKUTANA KWA DHARURA KATIKA OFISI ZA EU NA KUFANYA KIKAO

Wabunge wa CHADEMA wakiwa kwenye kikao cha dharura kinachoendelea muda huu katika ofisi za Umoja wa Ulaya (EU) wakiongea na Mabalozi kutoka nchi mbalimbali kuhusu hali ya siasa nchini Tanzania na kutofikishwa Mahakamani kwa Viongozi wakuu wa CHADEMA walioko mahabusu.
IMG_20180329_143033.jpgIMG_20180329_143031.jpg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search