Wednesday, 21 March 2018

WATU SABA WAMEFARIKI MKATIKA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA MKOANI KIGOMA
Watu 7 wamefariki dunia katika ajali baada gari la mizigo aina ya Scania kupinduka katika eneo la Mkongoro, Kigoma. Chanzo cha ajali kimedaiwa kuwa ni dereva kushindwa kulimudu gari kwenye mteremko mkali. RPC Kigoma, Martin Otieno amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search