Monday, 12 March 2018

Zitto Kabwe "Rais Anasema, IGP Anasema, Naibu wa Rais (DSM) Anasema, Waziri Anasema. Yote hii ya nini Mbona Mnapanick?""Mkuu wa Polisi anasema. Mkuu wa Majeshi anasema. Mkuu wa Wakuu wa Mikoa ( Naibu Rais 🙄 ) anasema. Waziri anasema. Rais anasema. Taharuki ( panick) yote hii ya nini? Siku chache zijazo mtasikia hapatakuwa na sherehe za Muungano, pesa zitaongezea bajeti ya kuvunja jengo la TANESCO pale Ubungo.

Taharuki ni ishara ya UDHAIFU. Someni Romania https://en.m.wikipedia.org/wiki/Romanian_Revolution na MAPINDUZI yao ya mwaka 1989." Zitto 

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search